Waamuzi 6:17 BHN

17 Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.

Kusoma sura kamili Waamuzi 6

Mtazamo Waamuzi 6:17 katika mazingira