19 Gideoni akaenda nyumbani mwake, akatayarisha mwanambuzi na mikate isiyotiwa chachu kutoka debe la unga; akatia nyama ndani ya kikapu na mchuzi ndani ya chungu, kisha akampelekea chini ya mwaloni, akampa.
Kusoma sura kamili Waamuzi 6
Mtazamo Waamuzi 6:19 katika mazingira