20 Malaika wa Mungu akamwambia, “Chukua nyama na mikate isiyotiwa chachu uviweke juu ya mwamba huu. Halafu tia mchuzi juu ya mikate na nyama.” Naye akafanya hivyo.
Kusoma sura kamili Waamuzi 6
Mtazamo Waamuzi 6:20 katika mazingira