Waamuzi 6:29 BHN

29 Wakaulizana, “Nani amefanya jambo hili?” Walipofanya uchunguzi wakagundua kwamba Gideoni mwana wa Yoashi ndiye aliyekuwa amefanya hayo.

Kusoma sura kamili Waamuzi 6

Mtazamo Waamuzi 6:29 katika mazingira