30 Wakazi wa mji wakamjia Yoashi, wakamwambia, “Mtoe mwanao tumuue, maana ameharibu madhabahu ya Baali na kuivunja sanamu ya Ashera iliyokuwa karibu nayo.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 6
Mtazamo Waamuzi 6:30 katika mazingira