Waamuzi 7:1 BHN

1 Yerubaali, yaani Gideoni na watu wote waliokuwa pamoja naye waliamka mapema, wakapiga kambi yao bondeni karibu na chemchemi ya Harodi; kambi ya Wamidiani ilikuwa kaskazini mwao bondeni karibu na mlima More.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:1 katika mazingira