Waamuzi 7:15 BHN

15 Gideoni aliposikia masimulizi hayo ya ndoto na tafsiri yake, alimwabudu Mungu. Kisha alirudi kwenye kambi ya Waisraeli, akasema, “Amkeni twende; maana Mwenyezi-Mungu amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:15 katika mazingira