Waamuzi 7:14 BHN

14 Mwenzake akamjibu, “Hiyo inamaanisha tu upanga wa yule Mwisraeli Gideoni mwana wa Yoashi ambaye mikononi mwake Mungu amewatia Wamidiani pamoja na jeshi lote.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:14 katika mazingira