Waamuzi 7:21 BHN

21 Wakasimama kila mmoja mahali pake kuizunguka kambi. Jeshi lote la adui likatawanyika huku likipiga mayowe.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:21 katika mazingira