Waamuzi 7:22 BHN

22 Watu wa Gideoni walipopiga tarumbeta zao 300, Mwenyezi-Mungu aliwafanya Wamidiani waanze kuuana wao kwa wao kambini. Waliosalia wakatoroka hadi Serera panapoelekea Beth-shita, hadi mpakani mwa Abel-mehola karibu na Tabathi.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:22 katika mazingira