Waamuzi 7:3 BHN

3 Sasa watangazie watu wote kwamba mtu yeyote aliye mwoga au anayetetemeka arudi nyumbani kwake.” Basi, Gideoni aliwajaribu, na watu 22,000 wakarudi nyumbani akabaki na watu 10,000.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:3 katika mazingira