Waamuzi 7:5 BHN

5 Basi, Gideoni akawapeleka watu mtoni na Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Watu watakaoramba maji kama mbwa, utawatenganisha na wale watakaopiga magoti kunywa maji.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:5 katika mazingira