Waamuzi 7:6 BHN

6 Idadi ya waliokunywa maji kwa kuchota kwa mikono yao na kuramba kama mbwa ilikuwa 300. Lakini wengine wote waliobaki walipiga magoti kunywa maji.

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:6 katika mazingira