Waamuzi 7:7 BHN

7 Mwenyezi-Mungu akamwambia Gideoni, “Kwa hao watu 300 waliokunywa kwa kuramba kama mbwa, nitawaokoa Waisraeli na kuwatia Wamidiani mikononi mwao. Lakini wale wengine wote warudi makwao.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 7

Mtazamo Waamuzi 7:7 katika mazingira