1 Watu wa kabila la Efraimu wakamwuliza Gideoni, “Kwa nini umetutendea hivyo? Kwa nini hukutuita ulipokwenda kupigana na Wamidiani?” Wakamlaumu kwa ukali.
Kusoma sura kamili Waamuzi 8
Mtazamo Waamuzi 8:1 katika mazingira