Waamuzi 8:15 BHN

15 Gideoni akarudi kwa watu wa Sukothi, akawaambia, “Si mtakumbuka mlivyonitukana mliposema, ‘Kwa nini tuwape mikate watu wako waliochoka sana nanyi bado hamjamshinda Zeba na Salmuna?’ Haya basi, Zeba na Salmuna ndio hawa.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:15 katika mazingira