Waamuzi 8:16 BHN

16 Basi, akawachukua wazee wa Sukothi na kuwapa funzo wanaume wote kwa kuichana miili yao kwa miiba na mbigili.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:16 katika mazingira