Waamuzi 8:23 BHN

23 Gideoni akawajibu, “Mimi sitakuwa mtawala wenu wala mwanangu hatakuwa mtawala wenu. Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekuwa mtawala wenu.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:23 katika mazingira