Waamuzi 8:24 BHN

24 Kisha akawaambia, “Ningependa kuwaomba kitu kimoja; naomba kila mmoja wenu anipe vipuli mlivyoteka nyara.” Wale Wamidiani kwa vile walikuwa Waishmaeli, walivaa vipuli vya dhahabu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:24 katika mazingira