Waamuzi 8:25 BHN

25 Watu wakamjibu, “Tutakupa kwa hiari.” Wakatandaza nguo na kila mmoja akatupa humo vipuli walivyokuwa wameteka nyara.

Kusoma sura kamili Waamuzi 8

Mtazamo Waamuzi 8:25 katika mazingira