Waamuzi 9:15 BHN

15 Mti wa miiba ukajibu, ‘Kama kweli mnataka kuniteua kuwa mfalme, njoni mkae chini ya kivuli changu. Lakini kama hamtaki kufanya hivyo, basi moto na utoke kwenye miiba yangu na kuiteketeza hata mierezi ya Lebanoni.’”

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:15 katika mazingira