Waamuzi 9:18 BHN

18 Lakini leo mmeishambulia jamaa ya baba yangu na kuwaua wana sabini juu ya jiwe moja, halafu mmemfanya Abimeleki mtoto wa mjakazi wa baba, awe mfalme wa wakazi wa Shekemu kwa sababu tu ni mtu wa ukoo wenu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:18 katika mazingira