Waamuzi 9:19 BHN

19 Sasa basi, kama mmetenda hayo kwa nia njema na kwa kumheshimu Yerubaali na jamaa yake, basi, furahini pamoja na Abimeleki, naye afurahi pamoja nanyi.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:19 katika mazingira