Waamuzi 9:27 BHN

27 Wakatoka na kwenda kwenye mashamba yao ya mizabibu, wakachuma zabibu halafu wakazisindika, wakatengeneza divai wakafanya sikukuu. Wakaingia kwenye nyumba ya mungu wao wakala na kunywa; kisha wakamtukana Abimeleki.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:27 katika mazingira