Waamuzi 9:28 BHN

28 Gaali, mwana wa Ebedi, akasema, “Abimeleki ni nani? Sisi hapa Shekemu ni watu wa aina gani hata tumtumikie Abimeleki? Gideoni na Zebuli ofisa wake walimtumikia Hamori baba wa Shekemu, lakini kwa nini basi, sisi tumtumikie Abimeleki?

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:28 katika mazingira