Waamuzi 9:34 BHN

34 Abimeleki aliondoka na watu waliokuwa pamoja naye kuja Shekemu wakati wa usiku. Aliwagawa watu wake katika vikosi vinne na kuvizia huko karibu na mji.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:34 katika mazingira