35 Gaali, mwana wa Ebedi, akatoka nje na kusimama kwenye lango la mji, wakati huo Abimeleki na watu wake walitoka mahali walipokuwa wanavizia.
Kusoma sura kamili Waamuzi 9
Mtazamo Waamuzi 9:35 katika mazingira