Waamuzi 9:4 BHN

4 Wakampa vipande sabini vya fedha vilivyokuwa kwenye nyumba ya Baal-berithi ambavyo alivitumia kuwakodi watu wakorofi na watu ovyoovyo ili wamfuate.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:4 katika mazingira