Waamuzi 9:5 BHN

5 Akafuatana nao kwenda Ofra kwa baba yake na huko akawaua ndugu zake wote sabini juu ya jiwe moja. Lakini Yothamu, mwana mdogo wa Yerubabeli alinusurika, maana alijificha.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:5 katika mazingira