Waamuzi 9:6 BHN

6 Wananchi wote wa Shekemu na Beth-milo wakakusanyika kwenye mwaloni ulio karibu na mnara huko Shekemu, wakamfanya Abimeleki kuwa mfalme wao.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:6 katika mazingira