Waamuzi 9:7 BHN

7 Yothamu alipopata habari hizo, alikwenda kusimama juu ya mlima Gerizimu, akasema kwa sauti kubwa, “Nisikilizeni, enyi watu wa Shekemu kama mnataka Mungu awasikilize na nyinyi.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:7 katika mazingira