Waamuzi 9:44 BHN

44 Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:44 katika mazingira