45 Abimeleki alipigana na wakazi wa mji huo siku nzima. Akauteka mji na kuwaua watu wote waliokuwamo humo. Akauteketeza mji kwa moto na kuutia chumvi.
Kusoma sura kamili Waamuzi 9
Mtazamo Waamuzi 9:45 katika mazingira