Walawi 1:13 BHN

13 Lakini matumbo na miguu yake ataviosha kwa maji. Kuhani ataiteketeza yote juu ya madhabahu. Hiyo ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto yenye harufu nzuri ya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 1

Mtazamo Walawi 1:13 katika mazingira