Walawi 1:15 BHN

15 Kuhani atamleta ndege huyo kwenye madhabahu, atamkongonyoa kichwa chake na kukiteketeza juu ya madhabahu. Damu yake itanyunyiziwa ubavuni mwa madhabahu.

Kusoma sura kamili Walawi 1

Mtazamo Walawi 1:15 katika mazingira