Walawi 1:5 BHN

5 Kisha, atamchinja huyo ng'ombe mbele ya Mwenyezi-Mungu. Nao makuhani, wazawa wa Aroni, wataichukua damu na kuinyunyizia madhabahu mlangoni mwa hema la mkutano, pande zake zote.

Kusoma sura kamili Walawi 1

Mtazamo Walawi 1:5 katika mazingira