Walawi 10:13 BHN

13 Mtaila katika mahali patakatifu kwa sababu hiyo ni haki yako na wazawa wako kutoka katika sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hivyo ndivyo nilivyoamriwa.

Kusoma sura kamili Walawi 10

Mtazamo Walawi 10:13 katika mazingira