Walawi 10:18 BHN

18 Tena, kwa vile damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu, ni dhahiri iliwapasa kumla ndani ya mahali patakatifu kama nilivyoamuru.”

Kusoma sura kamili Walawi 10

Mtazamo Walawi 10:18 katika mazingira