Walawi 10:4 BHN

4 Basi, Mose akawaita Mishaeli na Elsafani, wanawe Uzieli, baba mdogo wa Aroni, akawaambia waje kuondoa maiti za ndugu zao maskani na kuzipeleka nje ya kambi.

Kusoma sura kamili Walawi 10

Mtazamo Walawi 10:4 katika mazingira