Walawi 10:7 BHN

7 Msitoke nje ya mlango wa hema la mkutano, la sivyo mtakufa; kwani mafuta ya kupaka ya Mwenyezi-Mungu yangali juu yenu.” Aroni na wanawe wakafanya kama Mose alivyosema.

Kusoma sura kamili Walawi 10

Mtazamo Walawi 10:7 katika mazingira