Walawi 11:10 BHN

10 Lakini chochote kinachoishi baharini au mitoni, ambacho hakina mapezi wala magamba, yaani viumbe vyote viendavyo majini na viumbe vingine vyote viishivyo majini ni najisi kwenu.

Kusoma sura kamili Walawi 11

Mtazamo Walawi 11:10 katika mazingira