27 Wanyama wote waendao kwa vitanga vyao ingawa wana miguu minne, ni najisi kwenu; na yeyote atakayegusa mzoga wa mnyama kama huyo atakuwa najisi mpaka jioni.
Kusoma sura kamili Walawi 11
Mtazamo Walawi 11:27 katika mazingira