40 Mtu yeyote akila nyama ya mzoga huo atafua mavazi yake na atakuwa najisi mpaka jioni. Na yeyote atakayebeba mzoga huo, atafua mavazi yake, naye atakuwa najisi mpaka jioni.
Kusoma sura kamili Walawi 11
Mtazamo Walawi 11:40 katika mazingira