Walawi 11:42 BHN

42 Chochote kiendacho kwa tumbo lake, chochote kiendacho kwa miguu yote minne au nyayo nyingi, naam, chochote kitambaacho, kamwe msikile kwa maana ni najisi kwenu.

Kusoma sura kamili Walawi 11

Mtazamo Walawi 11:42 katika mazingira