Walawi 11:44 BHN

44 Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndimi Mungu wenu, jiwekeni wakfu na kuwa watakatifu kwa maana mimi ni mtakatifu.

Kusoma sura kamili Walawi 11

Mtazamo Walawi 11:44 katika mazingira