Walawi 12:5 BHN

5 Lakini, kama amejifungua mtoto wa kike, basi, atakuwa najisi kwa muda wa majuma mawili kama ilivyo anapokuwa katika siku zake. Ataendelea katika kutakasika kwake kwa muda wa siku sitini na sita.

Kusoma sura kamili Walawi 12

Mtazamo Walawi 12:5 katika mazingira