Walawi 13:11 BHN

11 huo ni ukoma wa muda mrefu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hakuna haja ya kumweka mtu huyo kwa uchunguzi kwani yu najisi tayari.

Kusoma sura kamili Walawi 13

Mtazamo Walawi 13:11 katika mazingira