Walawi 13:4 BHN

4 Lakini ikiwa kipele hicho, ingawa cheupe hakikuingia ndani sana ya ngozi na wala nywele za mahali hapo hazikubadilika kuwa nyeupe, basi, kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda wa siku saba.

Kusoma sura kamili Walawi 13

Mtazamo Walawi 13:4 katika mazingira