8 Kuhani atamwangalia tena, na kama ule upele umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; huo ni ukoma.
Kusoma sura kamili Walawi 13
Mtazamo Walawi 13:8 katika mazingira