23 Siku ya nane atamletea kuhani vitu hivyo mbele ya mlango wa hema la mkutano kwa ajili ya utakaso wake mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Walawi 14
Mtazamo Walawi 14:23 katika mazingira